Home dunia Avunja Nazi 148 Kwa Dakika Moja, Akitumia Mkono

Avunja Nazi 148 Kwa Dakika Moja, Akitumia Mkono

199
0

 

Jamaa mmoja raia wa Ujerumani ameingia katika vitabu vya rekodi duniani baada ya kufanikiwa kuvunja nazi 148 kwa kutumia mkono wake mmoja, katika mda wa dakika moja.

 

Muhamed Kahrimanovic, ameweka rekodi hiyo mpya katika kipindi kilichokua kikipeperuushwa moja kwa moja katika kituo kimoja cha runinga nchini Italia.

Katika jaribio hilo la kuweka rekodi, Kahrimanovic alifanikiwa kuvunja nazi moja katika kila pigo la mkono wake.

Previous articleNick Canon Apata Mtoto Wa 8
Next articleMama Atishia Kumdhuru Mpenzi Wa Mwanawe Anayetumiwa Elfu 56 Kila Mwezi Na Mwanawe Iwapo Anamchezea Kihisia.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here