Home BURUDANI Bennifer: Hatimaye Ushahidi Wa Jennifer Lopez Na Ben Affleck Kufunga Ndoa Wachipuka.

Bennifer: Hatimaye Ushahidi Wa Jennifer Lopez Na Ben Affleck Kufunga Ndoa Wachipuka.

173
0

 

Sasa ni rasmi kwamba Jennifer Lopez na Ben Affleck walifuna ndoa ya kisiri baada ya cheti chao cha ndoa kupatikana na kusambazwa mitandaoni.

Kulingana na ushahidi wa cheti hicho, Jennifer Lopez na Ben Affleck walifunga ndoa Jumapili ya tarehe 16 mwezi uliopita wa Julai katika kanisa moja dogo jimbo la Las Vegas usiku.

Ndoa yao ilifungwa na padri kwa jina Ryan Wolfe huku shahidi wao akiwa jamaa kwa jina Kenosha Booth na Jennifer alikubali kuadili jina lake hadi Jennifer Affleck.

Previous articleMahakama Yataka Kunyongwa Kwa Mfungwa Kupeperushwe “Live” Katika Runinga.
Next articleBurna Boy Azidi Kupeta Na Rekodi Za Bara Afrika.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here