Home dunia Mwanamke Asafiri Na Ing’e 18 Bila Kujua.

Mwanamke Asafiri Na Ing’e 18 Bila Kujua.

108
0

 

Mwanamke mmoja raia wa Austria amezua gumzo barani Uropa baada ya kuripotiwa kwamba alisafiri na ing’e 18 bila kujua kutoka taifa la Croatia alikokua amekwenda kwa mapumziko.

Kituo kimoja cha kuhifadhi wanyama wa mwituni kwa jina Tierhilfe Gusental nchini Austria kimefichua kuwa mwanamke huyo alisafiri na ing’e hao katika begi lake la nguo na aligundua uwepo wa ing’e hao baada ya kufika nyumbani kwake.

Kituo hicho kimeeleza kuwa ing’e hao sasa wataachiliwa katika misitu ya taifa hilo badala ya kurudushwa nchini Croatia walikotokea.

Previous articleBurna Boy Azidi Kupeta Na Rekodi Za Bara Afrika.
Next articleNe-Yo Ataka Kutosumbuliwa Na Mashabiki Akipambana Na Kashfa Ya Kuchepuka.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here