Home BURUDANI Ne-Yo Ataka Kutosumbuliwa Na Mashabiki Akipambana Na Kashfa Ya Kuchepuka.

Ne-Yo Ataka Kutosumbuliwa Na Mashabiki Akipambana Na Kashfa Ya Kuchepuka.

148
0

Ne-Yo Ataka Kutosumbuliwa Na Mashabiki Akipambana Na Kashfa Ya Kuchepuka.

Msanii Ne-Yo kutoka nchini Marekani sasa anawataka mashabiki kuwacha kumfuatilia na maswali na kumpa nafasi ya kushughulikia kashfa ya kuchepuka inayomwandama faragani na mkewe.

Mke wa Ne-Yo kwa jina Crystal Renay mwenye umri wa miaka 42 amemweka Ne-Yo katika kashfa nzito baada ya kufichua kuwa Ne-Yo amewahi kuchepuka mara kadhaa katika miaka yao minane ya ndoa.

Ne-Yo sasa amewaomba mashabiki kumpa nafasi yeye na mkewe kushughulikia tofauti zao faragani kwani maswala kama hayo hayawezi kushughulikiwa katika majukwaa ya umma.

Previous articleMwanamke Asafiri Na Ing’e 18 Bila Kujua.
Next articleSiku Fupi Zaidi Kuwahi Kurekodiwa Katika Historia Ya Dunia Ilikua Juzi.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here