Home dunia Afariki Baada Ya Kulala Na Simu Kitandani.

Afariki Baada Ya Kulala Na Simu Kitandani.

160
0

 

Onyo la utumizi salama wa simu wakati wa “charging” limetolewa na wataalam, baada ya kisa ambapo jamaa mmoja ameripotiwa kufariki baada ya kupigwa na stima alipolala na simu katika kitanda chake usiku.

Khorn Srey Pov raia wa China, mwenye umri wa miaka 17 amefariki nchini Cambodia baada ya kuilalia simu yake wakati ikiwa imewekwa kwenye moto ili ku’charge, usiku alipokwenda kulala.

Imeelezwa kwamba Pov alioga kabla ya kupanda kitandani na simu yake iliyokua anaitumia kama tochi ili kupata mwangaza wa chumba, lakini baadae alibebwa na usingizi na kuilalia juu yake ikiwa kando katika godoro, ambapo alipigwa na stima na kufariki papo hapo.

Previous articleWanasayansi Wafanikiwa kufufua Viungo Vya Nguruwe Aliyefariki Saa Moja Baadae.
Next articleNaomi Osaka Apinga Kutengana Na Mpenzi Wake.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here