Home BURUDANI Dr. Dre Na P Diddy Waingia Studio Kutengeneza Wimbo Pamoja.

Dr. Dre Na P Diddy Waingia Studio Kutengeneza Wimbo Pamoja.

195
0

Hatimaye ma’producer wakongwe ulimwenguni P Diddy na Dr. Dre wameamua kufanya kazi ya kwanza kwa pamoja katika historia yao ya safari ya mziki.

Kulingana na taarifa nchini Marekani, P diddy amefika kwa Dr. Dre kufunzwa vitu flani kuhusu mziki, ikiwemo matamshi ya maneno katika nyimbo.

Picha inayowaonyesha wawili hao wakiwa studio imesambaa kwa kasi mitandaoni na kuzua hisia mseto kuhusu kazi ya pamoja itakayozaliwa kutoka na ushirikiano wao.

Imeelezwa kuwa nguli hawa wa mziki hip hop duniani, wameingia studio kutengeneza wimbo wa pamoja kusaidia kampeini mpya ya P Diddy inayokwenda kwa jina la “R&B is Dead.”

Previous article“Napenda Ngono Sana Siku Hizi” – Madonna.
Next articleKiini Cha Ugomvi Kati Ya Kanye West Na John Legend Cha Fichuliwa. Hutaamini!
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here