Home HABARI Ajali: Ndege 2 Zagongana Hewani.

Ajali: Ndege 2 Zagongana Hewani.

102
0

Watu watatu wamefariki katika ajali ya ndege jimbo la Colorado nchini Marekani, katika kisa ambapo ndege mbili ziligongana zikiwa hewani kabla ya kuanguka.

Kulingana na ripoti ya polisi wa mji wa Boluder zilikoanguka ndege husika, ndege aina ya Cessna 172 iligongana na ndege aina ya Sonex Xenos hewani huku kiini cha ajali ikiwa bado hakijabainaka.

Ajali hiyo imetokea karibu na uwanja wa ndege wa Vance Brand Airport.

Previous articleJe, haufurahishwi na kimo chako kifupi na unatamani kuongeza kimo? Amini usiamini hili linaweza kutimia kwa miezi 3!
Next articleAwekewa Kimakosa Milioni 29 Katika Akaunti Yake Ya Benki. Ingekua Wewe Utafanyaje?
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here