Home dunia Awekewa Kimakosa Milioni 29 Katika Akaunti Yake Ya Benki. Ingekua Wewe Utafanyaje?

Awekewa Kimakosa Milioni 29 Katika Akaunti Yake Ya Benki. Ingekua Wewe Utafanyaje?

171
0

 

Blogger mmoja amezua mjadala mitandaoni baada ya kufichua kuwa kampuni ya Google imemtumia dola za kimarekani elfu 250, ambazo ni sawia na shilingi milioni 29 pesa za kenya, kimakosa katika akaunti yake binafsi ya benki.

Kupitia akaunti yake ya Twitter, Sam Curry, ambaye ni wa mhandisi wa maswala ya usalama na mwana blogu amesambaza picha ianyoonyesha salio la akaunti yake binafsi ambapo inahela hizo kutoka kampuni ya Google.

Curry aidha amefichua kuwa ilikua imepita zaidi ya wiki tatu na bado kampuni ya Google ilikua haijagundua makosa hayo na kumpokonya hela hizo, akielezea kuwa hakua na mipango ya kuzitumia hela hizo kwani anajua wakati utafika na kapuni ya Google itakuja kumdai hela hizo.

Previous articleAjali: Ndege 2 Zagongana Hewani.
Next articleRekodi: Afanikiwa Kunywa Katika Bar 67 Tofauti Katika Siku Moja.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here