Home HABARI Utafiti Wa Baini “Password” Inayotumika Kwa Sana Mitandaoni.

Utafiti Wa Baini “Password” Inayotumika Kwa Sana Mitandaoni.

111
0

Utafiti uliofanywa na mtandao mmoja kwa jina NordPass umefichua neno la siri (password) linalotumika na watu wengi zaidi duniani mwaka wa 2021.

Kulingana na utafiti huo, 123456 ndio neno la siri linalotumika na watumizi wengi wa internet kuingia katika mitandao tofauti.

Nordpass imeonya kuwa iwapo hili ndilo neno lako la siri, itachukua sekunde moja tu kwa wadukuzi kudukua akaunti yako sababu ya urahisi wake.

Previous articleMtoto Afariki Sababu Ya Uoga.
Next articleApigwa Ngumi Na Kufariki Papo Hapo Katika Ndondi.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here