Home dunia Daktari Mzee Zaidi Duniani Anayendelea Kutibu Wagonjwa.

Daktari Mzee Zaidi Duniani Anayendelea Kutibu Wagonjwa.

115
0

Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 100 anashikilia rekodi ya dunia kwa kuwa daktari mzee zaidi duniani, anayeendelea kutibu wa gonjwa ulimwenguni.

Dr. Howard Tucker kutoka jimbo la Cleveland nchini Marekani, amethibitishwa kuwa daktari wa pekee mwenye umri mkubwa zaidi ulimwenguni, ambaye bado anakutana na wagonjwa na kuwatibu magonjwa tofauti kama madaktari wengine wa kawaida.

Je, unaweza kubali kutibiwa na dakatari huyu ukiwa mgonjwa?

Previous articleAfanyiwa Upasuaji Wa Kichwa Huku Akipiga Tarumbeta.
Next articleMji Washerehekea Kutouliwa Mtu Katika Kipindi Cha Siku Saba Mfululizo.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here