Home dunia Paka Asiyekua Na Jinsia Ya Kiume Wala Ya Kike Agunduliwa Uingereza.

Paka Asiyekua Na Jinsia Ya Kiume Wala Ya Kike Agunduliwa Uingereza.

110
0

Paka mmoja ameshangaza wengi baada ya madaktari wa wanyama kuthibitisha kwamba alizaliwa bila ya jinsia yoyote.

Madakatari katika kituo kimoja cha makao ya wanyama wasiokua na wamiliki mji wa Warrington nchini Uingereza wameeleza kuwa, paka huyo sio wa kiume wala wa kike, baada ya kuzaliwa bila ya sehemu hizo; nje na ndani kimaumbile.

Madaktari wanaomchunguza paka huyo wamefichua kuwa kwa sasa ana umri wa wiki 15 na hajaonyesha tabia zozote zianazoweza kuhusishwa na jinsia yoyote.

Previous articleMtoto Wa Miaka 8 Afichwa Miaka 7 Bila Ya Kutoka Nje Na Mazazi Wake.
Next articleJamaa Asherehekea Kula Kuku Mzima Kila Siku Mfululizo Kwa Siku 40.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here