Home dunia Raia Waonywa Kutoramba Chura

Raia Waonywa Kutoramba Chura

123
0

Maafisa wa wanyama pori katika makao ya wanayma pori jimbo la Colorado nchini Marekani wamegonga vichwa vya habari baada ya kufichua kuwa kumezuka tabia ya watu wanaotemebela wanyama katika makao hayo kuramba kwa ndimi zao aina flani ya chura anayehifadhiwa katika makao hayo.Katika taarifa kwa umma ambayo imeshangaza watu, The National Parks Service nchin Marekani imefichua kuwa kuna watu hutembea kumuona chura mmoja aina ya Sonoran Desert toad makao hayo na kumlamba wanapopewa kumshika ili kumuangalia.

Previous articleJamaa Asherehekea Kula Kuku Mzima Kila Siku Mfululizo Kwa Siku 40.
Next articleAtolewa Pete Iliyokwama Kidoleni Kwa Miaka 15
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here