Home dunia Ashikwa Na Polisi Baada Ya Kujirekodi Akila Popo Mtandaoni

Ashikwa Na Polisi Baada Ya Kujirekodi Akila Popo Mtandaoni

121
0

Mwanadada mmoja maarufu katika mtandao wa YouTube duniani raia wa Thailand amekamatwa na polisi nchini mwao, baada ya kupachika kipande cha video kinachomuonyesha akinywa supu ya popo na nyama yake, iliyopikwa katika channel yake ya YouTube.

Mwalimu Phonchanok Srisunaklua, kupitia channel yake ya YouTube kwa jina Gin Zap Bep Nua Nua – aliuzua hofu mitandaoni baada ya upachika ido hiyo akila aina y popo anayeemekana kuhusian aukaribu na popo anayekisia kuleta janga la corona duniani.

Kufikia sasa video hiyo imeondolewa katika mtandao wa YouTube, huku Phonchanok akikamatwa na polisi wa Thailand na anakabiliwa na kifungo cha miaka mitano gerezani iwapo mahakama itampata na hatia, ama faini ya dola elfu 12 ambazo ni sawia na shilingi milioni 1.4 pesa za Kenya.

Previous articleJamaa Aliyefungwa Jela Miaka 214 Achiliwa Huru
Next articleKitabu Kikubwa Zaidi Duniani
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here