Home dunia Aweka Rekodi Ya Kujaza Vibofu Kwa Kutumia Pua.

Aweka Rekodi Ya Kujaza Vibofu Kwa Kutumia Pua.

18
0

Jamaa mmoja amengia katika vitabu vya kumbukumbu za rekodi za dunia baada ya kufanikiwa kujaza vibofu 28 kwa kutumia pua kwa kutumia kipindi kifupi zaidi duniani.

David Rush kutoka jimbo la Idaho nchini Marekani amefanikiwa kuvijaza vibofu hivyo kwa mda mchache zaidi kuwahi rekodiwa duniani, ambao ni dakika 3.

Rush ambaye pia anashikilia rekodi zengine za kufanya vitu tofauti duniani, anasema amejaribu kuweka rekodi hiyo ya kujaza vibofu mara 42 kabla ya hatimaye kufanikiwa majuzi.

Previous articleAliyedhani Kapata Mke Kumbe Kaoa Mwanamume Mwenzie.
Next articleJamaa Analala Nusu Saa Tu Kila Siku Kwa Miaka 12 Sasa.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here