Home dunia Jamaa Analala Nusu Saa Tu Kila Siku Kwa Miaka 12 Sasa.

Jamaa Analala Nusu Saa Tu Kila Siku Kwa Miaka 12 Sasa.

7
0

Jamaa mmoja raia wa Japan ameshangaza wengi baada ya kuthibitishwa kuwa hua analala nusu saa kila sika katika maisha yake.

Daisuke Hori mwenye umri wa miaka 40 anasemekana kulala mda mchache kila siku katika katika kipindi cha miaka 12 iliyopita.

Kulingana na Bw. Hori, yeye hulala 02:30am kabla ya kuamka 03:00am kila alfajiri na kuanza shughuli zake za siku.

Kwa sasa Bw. Hori ameanzisha chama cha walalaji mda mfupi duniani akilenga kuhamasisha watu wengine duniani kulala mda mfupi maishani mwao.

 

Previous articleAweka Rekodi Ya Kujaza Vibofu Kwa Kutumia Pua.
Next articleMwili Wa Ajuza Wapatikana Ukioza Miaka Kadhaa Baada Ya Kufariki
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here