Home dunia Ajaza Upepo Vibofu 10 Kwa Dakika Moja Akitumia Pua.

Ajaza Upepo Vibofu 10 Kwa Dakika Moja Akitumia Pua.

96
0

 

Jamaa mmoja ameweka rekodi mpya duniani baada ya kufanikiwa kujaza upepo vibofu 10 katika kipindi cha dadika moja kwa kutumia pua badala ya mdomo.

David Rush kutoka jimbo la Idaho nchini Marekani ameingia katika vitambu vya rekodi za dunia Guinness World Record kwa kuvunja rekodi ya awali iliyowekwa na Ashrita Furman mwaka wa 2016, ambayo ilikua ni vibofu 9 kwa dakika moja.

Rush amejaza vibofu hivyo kwa kupuliza upepo kupitia pua yake kabla ya kuvifunga kwa mkono visitoe hewa iliyojazwa.

Previous articleWafanya Ngono Uwanjani Mashabiki Wakitazama Mechi.
Next articleKanye West Aepuka Kesi Ya Kumshambulia Shabiki Kwa Ngumi.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here