Home dunia Washiriki Ngono Uwanjani Mechi Ikiendelea

Washiriki Ngono Uwanjani Mechi Ikiendelea

171
0

Polisi nchini Marekani wanachunguza kisa chengine wiki hii ambapo wapenzi walishikwa wakishiriki ngono uwanjani wakati wa mechi moja ya mchezo wa Baseball ikiendelea katika mji wa Toronto nchini Marekani.

Kulingana na taarifa nchini Marekani, walioshikwa walifanya kitendo hicho hadharani wakati wa mechi kati ya klabu ya Toronto Blue Jays na Chicago cubs ikiendelea.

Tukio hili ni la pili la watu kushiriki ngono uwanjani hadharani wakati mashabiki wengine wakitazama mechi baada ya kisa chengine kuripotiwa wiki iliyopita.

Previous articleCucumber Ndefu Zaidi Kuwahi Kuvunwa Duniani.
Next articleLeonardo Dicaprio Atengana Na Mpenzi Wake.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here