Home BURUDANI “Napenda Ngono Sana Siku Hizi” – Madonna.

“Napenda Ngono Sana Siku Hizi” – Madonna.

164
0

 

Msanii maarufu duniani Madonna amezua gumzo mitandaoni baada ya kufichua kitu anachopenda kukifanya zaidi kwa sasa katika maisha yake.

Madonna amefichua kuwa kwa sasa anapenda kufanya ngono sana!

Akijibu maswali ya mashabiki kupitia kipande cha video alichopakia katika mtandao wa youtube, Madonna mwenye umri wa miaka 64 amekiri kuwa karibuni amekua akishsirika sana ngono na mpenzi wake Andrew Darnell mwenye umri wa miaka 23.

Madonna na mpenzi wake Andrew Darnell mwenye umri wa miaka 23.

Madonna anasema hicho ndicho kitu kinachompatia nguvu ya kuendelea kupambana maishani kwa sasa.

Previous articleLeonardo Dicaprio Atengana Na Mpenzi Wake.
Next articleDr. Dre Na P Diddy Waingia Studio Kutengeneza Wimbo Pamoja.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here