Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 100 anashikilia rekodi ya dunia kwa kuwa daktari mzee zaidi duniani, anayeendelea kutibu wa gonjwa ulimwenguni.
Dr. Howard Tucker kutoka jimbo la Cleveland nchini Marekani, amethibitishwa kuwa daktari wa pekee mwenye umri mkubwa zaidi ulimwenguni, ambaye bado anakutana na wagonjwa na kuwatibu magonjwa tofauti kama madaktari wengine wa kawaida.
Je, unaweza kubali kutibiwa na dakatari huyu ukiwa mgonjwa?