Home BURUDANI Wamchangia Kanye West Ili Arudi Katika Orodha Ya Mabilionea Duniani.

Wamchangia Kanye West Ili Arudi Katika Orodha Ya Mabilionea Duniani.

124
0

Mashabiki wamejitokeza kumchangia msanii Kanye West ili arudie hadhi yake ya kuwa bilionea ulimwenguni, baada ya kampuni kadhaa kukatiza uhusiano wa kibiashara na yeye kufuatia matamshi yake ya kiubaguzi dhiidi ya watu wenye asili ya kiyahudi.

Kupitia mtandao wa GoFundMe, mashabiki hao wanataka kumuongezea fedha Kanye West baada ya kuteremka katika orodha ya matajiri duniani kufuatia hatua ya biashara zake kadhaa kukatizwa.Akikiriri kupungua kwa utajiri wake ghafla, Kanye West amefichua kuwa kuna siku alipoteza utajiri wa bilioni mbili baada ya kampuni ya Adidas kujiunga na kampuni kadhaa zilizoamua kukatiza uhusiano wa kibiashara naye.

Previous articleWatu 178 Wenye Jina La Kufanana Wakutana Japan Na Kuvunja Rekodi.
Next articleAkataa Kufichulia Familia Ushindi Wake Wa Ksh. 3.6 Billion Ili Wasigeuke Wavivu Maishani.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here