Home dunia Alipwa Ksh 4.5 Billion Kwa Kufungwa Jela Miaka 20 Kimakosa

Alipwa Ksh 4.5 Billion Kwa Kufungwa Jela Miaka 20 Kimakosa

176
0

Jamaa mmoja kwa jina Roger ‘Dean’ Gillispie kutoka jimbo la Ohio nchini Marekani amelipwa dola milioni 45 za Kimarekani ambazo ni sawia na bilioni 4.5 pesa za Kenya na mahakama nchini humo baada ya kutumikia kifungo cha miaka 20 jela kimakosa.

Dean alihukumiwa miaka 56 jela baada ya mahakama kumpata na hatia ya utekaji nyara na ubakaji wa mama na binti zake mapacha mwaka wa 1991.

Hata hivyo baada ya miaka 20 ya kujitetea kwamba hakuhusika na uhalifu huo mahakamni, mwaka wa 2011 mahakama ilibatilisha uamuzi wa awali na kuamuru kuachiliwa huru kwa Dean, baada ya ushahidi mpya kutomhusisha na mashtaka.

Dean alianza mchakato wa kuishtaki serikali ya Marekani kwa kumfunga kimakosa hadi majuzi ambapomahakailiamauru allipwebilioni 4.5 kama fidia ya ufugwa kimakosa nakupotezamiaka 20 jela.

Previous articleMbwa Mzee Zaidi Duniani.
Next articleApigwa Risasi Na Mbwa Wake Na Kufariki Papo Hapo
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here