Home BURUDANI Rosa Ree Awachana Watu Maarufu Wanaojiingiza Katika Mziki.

Rosa Ree Awachana Watu Maarufu Wanaojiingiza Katika Mziki.

110
0

Rapper Rosa Ree kutoka Tanzania amewaponda watu maarufu ambao wanajitosa katika mziki kisa wana wafuasi wengi kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii.

Rosa Ree anawataka watu maarufu mitandaoni wenye tabia hiyo waelewe kwamba kuwa na wafusi wengi kwenye mitandao ya kijamii haimaanishi wanaokufuatilia watakua mashabiki wa mziki wako moja kwa moja.

Kulingana na Rosa Ree ni kwamba Tabia hii imechangia pakubwa kushuka kwa thamani ya mziki kwani Sanaa imevamiwa na watu ambao hawana vipaji.

Previous articleMarioo:Kauli Ya Shabiki Ndio Kipimo Halisi Kwa Msanii.
Next articleJason Derulo Ampiga Shabiki Aliyemuita Usher Badala Ya Jina Lake
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here