Home BURUDANI Afunga Ndoa Na Rangi Ya Pink/Waridi

Afunga Ndoa Na Rangi Ya Pink/Waridi

103
0

Mwanamke mmoja huko Marekani amewashangaza wengi baada ya kuamua kufunga ndoa na rangi ya pink/waridi.

Kitten Kay Sera kutoka Las Vegas alichukua uamuzi huo baada ya kuwa kwenye mahusiano na rangi hiyo kwa Zaidi ya mika 40.

Katika hafla ambayo ilihudhuriwa na ndugu na marafiki, mwanamke huyo aliupamba ukumbi na rangi hiyo huku mavazi na kila kitu kwenye ukumbi huo kikiwa rangi ya pink

Previous articleJason Derulo Ampiga Shabiki Aliyemuita Usher Badala Ya Jina Lake
Next articleAfariki Baada Ya Kufanya Mapenzi Machakos
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here