Home BURUDANI Ugomvi Watokota Baina Ya Wasanii Shatta Wale (Ghana) Na Burnaboy (Nigeria.)

Ugomvi Watokota Baina Ya Wasanii Shatta Wale (Ghana) Na Burnaboy (Nigeria.)

110
0

Ugomvi kati ya wasanii Shatta Wale kutoka Ghana na BurnaBoy kutoka Nigeria unaendelea kutokota baada ya Shatta Wale kumwambia Burna Boy aache ushamba wa kujionyesha,

Kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii Shata wale amemkashifu Burnaboy kwa tabia yake ya kupenda kujionyehsa kwamba ana hela wakati hana.

Kulingana na shatta wale ni kwamba matajiri mda wote hawawezi kujionyesha na kujisifia hadharani kwamba wana pesa.

Kauli hiyo ya Shatta Wale inajiri baada video iliyokuwa ikimuonyesha Burnaboy anatupa pesa kwenye moja ya sehemu za starehe huku taarifa zikisambaa kwamba burnaboy kajizawadia Gari Aina Ya Lamborghin Aina Ya Novitec Edition 2022 Yenye Thamani Ya Dola Za Kimarekani 608,151.5 ambazo ni zaidi ya sh milioni 60 pesa ya Kenya.

Previous articleNyota Ndogo Alalamikia Mziki Wake Kutofanya Vizuri Katika Soko.
Next articleAmkata Mamake Mikono Kisa Mama Hampendi Vilivyo.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here