Home BURUDANI Nadia Mukami Aeleza Kwa Nini Anaficha Ujaa Uzito Wake.

Nadia Mukami Aeleza Kwa Nini Anaficha Ujaa Uzito Wake.

103
0

Msanii Nadia Mukami amefichua kwamba aliipoteza mimba yake na msanii mwenza Arrow Boy.

Nadia amethibitisha kwamba ni kweli alikua na uja uzito wa msanii mwenza Arrow Boy lakini kwa bahati mbaya aliupoteza ujauzito huo kitu ambacho kinawafanya wafiche ujauzito wa sasa.

Haya yanajiri baada ya guzmo kuzagaa kwamba wawili hawa wanatarajia kupata mtoto pamoja japo wenyewe hawajaliweka wazi.

Previous articleAmkata Mamake Mikono Kisa Mama Hampendi Vilivyo.
Next articleBobi Wine Amchana Museveni Kupitia Wimbo.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here