Home BURUDANI Bobi Wine Amchana Museveni Kupitia Wimbo.

Bobi Wine Amchana Museveni Kupitia Wimbo.

98
0

Msanii wa mziki wa kizazi kipya ambaye pia ni mwanasiasa kutoka Uganda Bobi Wine amezua gumzo nchini Uganda baada ya kutoa wimbo unaomponda raisi wa taifa hilo Yoweri Museveni.

Wimbo huo umezungumzia maovu ambayo kulingana na Bobi Wine yamefanywa na utawala wa Museveni.

Bobi Wine pia ameelezea kusikitishwa kwake na umoja wa mataifa kukaa kimya wakati waganda wanateseka chini ya utawala m’baya.

Previous articleNadia Mukami Aeleza Kwa Nini Anaficha Ujaa Uzito Wake.
Next articleJamaa Aomba Uma Kumtaftia Mke. Ameshindwa Kujitafutia.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here