Home dunia Jamaa Aomba Uma Kumtaftia Mke. Ameshindwa Kujitafutia.

Jamaa Aomba Uma Kumtaftia Mke. Ameshindwa Kujitafutia.

118
0

Mwanume mmoja huko Uingereza amezua gumzo baada ya kuweka matangazo barabarani akiwasihi watu wamtaftie mke.

Mwanaume huyo kwa jina Muhammad Malik amesema kwamba licha kwamba anajiweza kifedha amejaribu jitihada zote kupata mwanamke wa ndoto zake lakini imeshindikana na kwa sasa ameamua kuomba msaada kutoka walimwengu kumtamftia mke.

Malik amesema kwamba hana shida na kuchaguliwa mke, bora tu mke huyo awe na vigezo halisi anavyovitafuta.

Previous articleBobi Wine Amchana Museveni Kupitia Wimbo.
Next articleJulia Fox Hatimaye Azungumzia Mapenzi Yake Na Kanye West.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here