Home HABARI Mexico: Miili 10 Yapatikana Ndani Ya Gari HABARIkimataifa Mexico: Miili 10 Yapatikana Ndani Ya Gari By admin - January 7, 2022 105 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Watu wawili wamekamatwa kuhusiana na tukio la kupata kwa miili 10 ya binadamu waliouliwa katika gari moja lililoegeshwa nchin Mexio. Ripoti za punde zinaeleza kuwa gari lenye miili hiyo liliegeshwa nje y afisi ya gavana wa jimbo Zacatecas