Home HABARI Ethiopia: Watu 3 Wafariki Kambi Ya Wakimbizi Tigray

Ethiopia: Watu 3 Wafariki Kambi Ya Wakimbizi Tigray

124
0

Raia watatu wa Eritrea wamefariki katika shambulizi la kambi moja ya wakimbizi kushambuliwa katika jimbo la Tigray nchin Uhabeshi.

Kamishna mkuu wa Shirika la umoja wa mataifa kuhusu wakimbizi Filippo Grandi anasema Watoto wawili ni miongoni mwa waliofariki na kuhimiza pande zote mbili katika mzozo wa jimbo la Tigray kuheshimu kambi za wakimbizi.

Previous articleMexico: Miili 10 Yapatikana Ndani Ya Gari
Next articleBRAZIL: Watu 10 Wafariki Baharini Brazil.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here