Home HABARI BRAZIL: Watu 10 Wafariki Baharini Brazil.

BRAZIL: Watu 10 Wafariki Baharini Brazil.

122
0

Watu 10 wamefariki na wengine 32 wakajeruhiwa baada ya mlima kuporomoka na kuwangukia wakiwa baharini nchin Brazil.

Wahasiriwa walikua watalii katika maboti kadhaa yaliyokua yakipita karibu na mlima huo ulikua katika kingo za bahari.

Previous articleEthiopia: Watu 3 Wafariki Kambi Ya Wakimbizi Tigray
Next articleMAREKANI: Watu 19 Wafariki Katika Mkasa Wa Moto.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here