Home HABARI MAREKANI: Watu 19 Wafariki Katika Mkasa Wa Moto. HABARIkimataifa MAREKANI: Watu 19 Wafariki Katika Mkasa Wa Moto. By admin - January 10, 2022 133 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Watu 19 wamefariki huku wengine 32 wakijeruhiwa katika mkasa wa moto kuteketeza jumba moja la makaazi jijini New York nchini Marekani. Miongoni mwa waliofariki ni watoto tisa.