Home kwetu Wezi Wapika Chakula Na Kula Kabla Ya Kuiba Vyombo Kanisani

Wezi Wapika Chakula Na Kula Kabla Ya Kuiba Vyombo Kanisani

163
0

Waumini wa kanisa moja eneo bunge la Bobasi huko kaunti ya Kisii wamepatwa na mshangao baada ya wezi kuvunja kanisa hilo, wakapika kabla kuiba vyombo vya ibada.

Kulingana na Kiongozi mmoja wa kanisa hilo kwa jina Tom Mosoba ni kwamba kinachowashangaza zaidi ni kwamba wezi hao walipika ndizi walizozipata ndani ya kanisa hilo na kuzila baada ya kuvunja na kuingia, kabla ya kutekeleza wizi.

Chifu wa eneo hilo anasema kwa sasa mshukiwa mmoja tayari amekamatwa na anasaidia polisi kwenye uchunguzi.

Previous articleWananchi Wamkamata Polisi Baada Kumshika Akitekeleza Wizi Wa Mabavu
Next articleNadia Mukami: Sipang’wing’wi
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here