Home dunia Jamaa Apandikizwa Moyo Wa Nguruwe Baada Ya Wake Kufeli

Jamaa Apandikizwa Moyo Wa Nguruwe Baada Ya Wake Kufeli

117
0

Jamaa moja raia wa Marekani amekua binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa nguruwe baada ya moyo wake kukumbwana matatizo.

David Bennett, mwenye umri wa miaka 57, alipandikizwa moyo huo wa nguruwe katika upasuaji wa uliochukua takriban masaa saba katika jimbo la Baltimore.

Madaktari katika chuo cha Maryland Medical Center walikubaliwa kisheria kufanya upandikizi huo baada ya kubainika kwamb Bwana Bennett angefariki baada ya kumaliza njia zote za matibabu zinazofahamika.

Previous articleAmuua Mtoto Wake Kisa Ugumu Wa Maisha
Next articleAnunua Saa Ghali Ili Avae Na Jacket Moja Lake
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here