Mwana masumbwi maarufu kutoka Marekani May Weather amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonyesha saa yenye thamani ya shilingi milioni 226 pesa za Kenya.
May weather amewashangaza wengi baada ya kufichua kuwa sababu kuu iliyompelekea kununua saa hiyo ni ili aweze kumatch na Jacket yake moja ya Louis Vuitton.
Kulingana na May weather jacket hilo ndilo lililompa msukumo wa kutafuta saa hiyo hadi akainunua.