Home BURUDANI Msanii Ibra Adaiwa Kutelekeza Jukumu Lake La Ulezi

Msanii Ibra Adaiwa Kutelekeza Jukumu Lake La Ulezi

102
0

Gumzo limezuka mitandaoni baada ya mwanamke mmoja anayedai kuwa baby mama wa msanii wa Konde Gang Ibra kudai kujitokeza na kudai msanii huyo hawajibiki majukuma yake kama baba.

Mrembo huyo kwa jina Kim Mishepu amedai kwamba tangu ajifungue mtoto huyo hajawahi kabisa kupata msaada kutoka kwa msanii huyo na kwamba alimlazimisha aweke kila kitu siri ili kuilinda brand yake.

Kulingana na mrembo huyo ni kwamba kilichomsukuma kuweka kila kitu wazi ni kwa sababu ya mateso anayopitia bila kupata msaada wowote.

Previous articleAnunua Saa Ghali Ili Avae Na Jacket Moja Lake
Next articleDiamond atangaza kumrudisha Queen Darling
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here