Home BURUDANI Kanye West Atisha Kumpiga Mpenzi Mpya Wa Ex Wake Kim Kardashian.

Kanye West Atisha Kumpiga Mpenzi Mpya Wa Ex Wake Kim Kardashian.

118
0

Rapper kutoka Marekani Kanye West amezua gumzo baada ya kutishia kwamba atampiga mpenzi mpya wa mkewe wa zamani Kim Kardashian.

Kupitia kipande cha dis track ambacho kilivuja kwenye mitandao Kanye, Kanye West anadai penzi jipya la Kim Kardashian na jamaa wake mpya kwa jina Pete Davidson limeathiri pakubwa maisha yake huku akifichua kuwa limesababishia ugumu wa kuwaona watoto wake aliozaana Kim.

Haya yanajiri baada ya kanye West kuzua vurumai alipofika katika sherehe ya birthday ya mwanawe mmoja aliyezaa na Kim iliyokua ikiandaliwa bila yeye kualikwa.

Previous articleWanafanya Mapenzi Na Ardhi Ili Kulinda Mazingira.
Next articlePolycarp Wa Sauti Sol Awashtumu Wasanii Wanaojiingiza Kwenye Siasa.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here