Home BURUDANI Polycarp Wa Sauti Sol Awashtumu Wasanii Wanaojiingiza Kwenye Siasa.

Polycarp Wa Sauti Sol Awashtumu Wasanii Wanaojiingiza Kwenye Siasa.

120
0

Member wa kundi la mziki la Sauti Sol kwa jina Polycarp Fancy Fingers amewashtumu wasanii wanaojitosa kwenye siasa, akiwataja kama wasiokua na wito wowote wa uongozi bali ubinafsi.

Polycarp anasema inasikitisha kuona wasanii wengi wanadanganyika na umaarufu walionao kwenye Sanaa wakidhani kwamba utawapa mafanikio ya moja kwa moja kwenye ulingo wa siasa.

Kulingana na Polycarp ni kwamba wasanii wengi wanaojiingiza kwenye uongozi hawana wito wowote wa kumpigania mwanainchi bali wanaingia tu kutafta maslahi yao binafsi.

Previous articleKanye West Atisha Kumpiga Mpenzi Mpya Wa Ex Wake Kim Kardashian.
Next articleCardi B: Nimechoshwa na Umaarufu Wangu.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here