Home BURUDANI Uganda:Msanii Aamua Kuuza Magari Yake Kisa Bei Ya Mafuta Imepanda

Uganda:Msanii Aamua Kuuza Magari Yake Kisa Bei Ya Mafuta Imepanda

145
0

Msanii wa mziki wa kizazi kipya kutoka Uganda Cindy amezua gumzo baada ya kusema kwamba atayauza magari yake na kugeukia usafiri wa baiskeli.

Kupitia mitandao yake ya kijamii msanii huyo amekiri kwamba ugumu wa maisha pamoja na kupanda kwa bei ya mafuta nchini humo kumempelekea kuamini kwamba magari yanamsababishia hasara tupu katika maisha na mipango yake ya muziki.

Kauli hii ya Cindy inajiri wakati ambao wanainchi wamekua wakiishinikiza serikali kufanya jitihada ya kuhakikisha inadhibiti bei ya mafuta nchini humo.

Previous articleHamisa Na Tanasha Wakutana Kenya
Next articleRose Muhando Ataka Kuolewa Na Mzungu
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here