Home tanzania Rose Muhando Ataka Kuolewa Na Mzungu

Rose Muhando Ataka Kuolewa Na Mzungu

138
0

Mwanamziki wa nyimbo za injili Rose Muhando kutoka Tanzania amezua gumzo baada ya kusema kwamba amechoka kuwa single na anatafuta mme wa kumuoa.

Kupitia Instagram, Rose Muhando amesema kwamba anatafuta mume wa kumuoa na sharti la kwanza anafaa awe ni mzungu na kigezo cha pili awe na hela.

Itakumbukwa kwamba mwaka jana msanii huyo alinukuliwa akisema kwamba anafurahia saana kuwa single na hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano yoyote.

Previous articleUganda:Msanii Aamua Kuuza Magari Yake Kisa Bei Ya Mafuta Imepanda
Next articleSauti Sol Wawasihi Wakenya Kudumisha Amani
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here