Kundi la mziki wa kizazi kipya humu nchini Sauti Sol limewasihi mashabiki wake kuwa makini wakati huu wa kampeini za kisiasa.
Kupitia ukurasa wao wa Facebook Sauti Sol wametoa wito kwa mashabiki wao pamoja na wakenya kwa ujumla kuwa makini wasituimke vibaya na wanasiasa wakati huu ambapo siasa zimepamba moto nchini.