Home BURUDANI Mwanamke Mwenye Wafuasi Wengi Zaidi Instagram.

Mwanamke Mwenye Wafuasi Wengi Zaidi Instagram.

129
0

Mwanamitindo Kylie Jenner kutoka nchini Marekani ametajwa kuwa mwanamke mwenye wafuasi wengi mtandao wa Instagram duninani.

Mrembo huyo ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa na wafuasi zaidi ya milioni 303.

Duniani, anaeshikilia namba moja kwa kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram ni mchezaji wa soka wa klabu ya Manchester United, Cristiano Ronaldo mwenye zaidi ya wafuasi Milioni 393 kwa sasa.

Previous articleSauti Sol Wawasihi Wakenya Kudumisha Amani
Next articleJaguar Aonya Wasanii Kukoma Kutafuta Msaada Kwake.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here