Home dunia Aachwa Na Mpenzi Miezi 3 Baada Ya Kumpatia Figo Lake

Aachwa Na Mpenzi Miezi 3 Baada Ya Kumpatia Figo Lake

175
0

Msichana moja amezua gumzo katika mitandao ya kijiamii baada ya kufichua kuwa aliachwa na mpenzi wake miezi mitatu tu baada ya kumpatia figo lake.

Colleen Le kupitia akaunti yake ya TikTok, ameelezea jinsi alivyoachwa njia panda miaka sita iliyopita baada ya mpenzi wake kuchepuka na mwanamke mwengine mda mfupi baada ya kumpatia figo lake katika upasuaji.

Katika video hiyo ambayo imejipatia mamilioni ya watazamaji kufika sasa katika mtandao huo, Colleene amefichua kuwa kufikia sasa bado jamaa huyo anaishi kwa utegemezi wa figo lake.

@colleeeniie

Everything happens for a reason 😬 #fyp #foryoupage #foryourpage #fypシ #kidneydonation #kidneydonor #relationshipgoals #relationships

♬ original sound – boiwhatdahelllboi1

Previous articleAmuua Mpenzi Sababu Alimtembelea Bila Kumuarifu.
Next articleKanye West Na Julia Fox Mapenzi Hadharani Sasa.
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here