Home BURUDANI Q Chief Amshauri Harmonize Kuwacha Kushindana Na Diamond Platnumz

Q Chief Amshauri Harmonize Kuwacha Kushindana Na Diamond Platnumz

197
0

Msanii mkongwe wa mziki nchini Tanzania Q Chief amemshauri msanii Harmonize awache tabia ya kushindani na wasanii waliomtangulia katika mziki nchini humo.

Q Chief amemtaka Harmonize kujifunza kutokana na maisha ya wasanii waliomtangulia, badala ya kupoteza nguvu kushindana nao.

Previous articleMr. P Wa P Square Awashauri Wanawake Kuwazawadi Wapenzi Wao Pia
Next articleWilly Paul: Nimewasamehe Maadui Wangu Wote
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here