Home BURUDANI Akeelah avutiwa na Masauti

Akeelah avutiwa na Masauti

340
0

Msanii kutoka hapa pwani Akeelah amemtaja msanii mwenza Masauti kama msanii mwenye utunzi wa ajabu unao mvutia.

Akeelah anasema mda mwingi hujipata akipiga kelele na kuchanganyikiwa kila anaposkia nyimbo za masauti kufuatia ubunifu na mpangilio wa mashairi yake.

Akeelah ametoa wito kwa Masauti kuendelea kutoa kazi nzuri ya kuiwakilisha pwani ya Kenya katika soko lamziki kimataifa.

Previous articlePrezzo Atangaza Kufanya Mziki Wa Injili Sasa. Ameokoka?
Next articleMwanamke Adai Kubakwa na Chris Brown
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here