Home ughaibuni Mwanamke Adai Kubakwa na Chris Brown

Mwanamke Adai Kubakwa na Chris Brown

100
0

Msanii Chris Brown nchini Marekani anakabiliwa kesi ya mpya ya kumwelesha kabla ya kum’baka mwanamke mmoja katika jiji la Miami.

Mwanamke mmoja amefika mahakamani akitaka kulipwa dola za kimarekani milioni 20 baada ya msanii huyo kufanya mapenzi naye kwa ulazima walipokutana katika sherehe.

Mwanamke huyo anadai tukio hilo lilitokea tarehe 30 mwezi Disemba mwaka wa 2020 lakini aliogopa kujitokeza na kuripoti kisa hicho hadi majuzi na kufikia sasa kambi ya msanii Chris Brown bado haijatoa tamko lolote kuhusu madai haya.

Previous articleAkeelah avutiwa na Masauti
Next articleMwalimu Arekodi Sauti Ya Mnyambo Na Kutumia Kuuliza Swali Wanafunzi
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here