Mwalimu mmoja amezua kihoja katika mitandao ya kijamii baada ya kuripotiwa kurekodi sauti ya mnyambo wake kimakosa na kutumia mlio kuuliza swali kwa wanafuzni aliokua akiwafunza kwa nji aya mtandao.
Katika kipande cha video kilichosambazwa katika mtandao wa Instagram, na mwanafuzni wake mmoja kwa jina Moore, (@the_mi_amor) ameeleza kuwa kuna swali ambalo lilihitaji mwalimu kuwatumia mlio uliorekodiwa ili wanafunzi wajibu papo kwa hapo.
Kilichofuata ni kimya kirefu kabla ya sauti hiyo ya mnyambo, jambo lililowaacha wanafunzi wakiangua kicheko na kupelekea kutamatika kwa somo ghafla.