Home BURUDANI Rick Ross Kuitwa “Babu” Mwaka Huu

Rick Ross Kuitwa “Babu” Mwaka Huu

133
0

Huenda Rapper kutoka Marekani Rick Ross akapata mjukuu na kuitwa babu kwa mara ya kwanza kabisa mwaka huu.

Hii ni baada ya binti yake Toie Roberts mwenye umri wa miaka 19 kutangaza kuwa mjamzito.

Picha ambazo binti huyo amezipachika mitandaoni zimethibitisha ujaauzito wake.

Previous articleMwalimu Arekodi Sauti Ya Mnyambo Na Kutumia Kuuliza Swali Wanafunzi
Next articleDavido Kununua Nyumba 3, Magari 5 Na Ndege 1 Mwaka Huu
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here