Home HABARI DRC: Wakimbizi Wakatwakatwa Kwa Mapanga Na Waasi

DRC: Wakimbizi Wakatwakatwa Kwa Mapanga Na Waasi

137
0

Wapiganji wa kundi moja la waasi katika taifa la kidemokrasia la Congo wanaripotiwa kuua idadi kubwa ya watu ambayo bado haijathibishwa, baada ya kushambulia kambi moja ya wakimbizi wa ndani kwa ndani, mashariki mwa taifa hilo.

Taarifa za punde zianeleza kuwa, waasi hao wamekata kata kwa mapanga idadi kubwa ya wakimbizi katika mji mmoja unaopatikana katika mkoa wa Ituri.

Previous articleJustin Beiber & Hailey: Tutasitisha Mahojiano Na Vyombo Vya Habari
Next articleDRC: Watu 26 Wafariki Kwa Kupigwa Na Stima
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here