Watu 16 wamefariki huku wengine 50 wakilazwa hospitali nchini Argentina, baada ya kutumia dawa ya kulevya aina ya cocaine ambayo ilikua na sumu.
Kulingana na taarifa jijini Buenos Aires, dawa hizo zinakisiwa kuongezwa kemikali zengine zaidi kuongeza makali lakini iligeuka kuwa sumu.