Home BURUDANI Jermaine Dupri Afichua Sababu Ya Kuvunjika Kwa Penzi Lake Na Janet Jackson

Jermaine Dupri Afichua Sababu Ya Kuvunjika Kwa Penzi Lake Na Janet Jackson

198
0

Rapper na boss wa label ya Deff Jam Jermaine Dupri amewashangaza wengi baada ya kusema kwamba kutoshindwa kujizuia kwa wanawake walimfuata kimapenzi ndio chanzo kikuu cha kuvunjika kwa penzi lake na Janet Jackson.

Dupri ambaye aliwachana Janet mwaka wa 2009, anasema kwamba kutokua kwake na msimamo dhabiti kwenye mapenzi kuliathiri pakubwa penzi lake na Janet Jackson hadi kupelekea penzi hilo kuvunjika.

Kulingana na Dupri ni kwamba mahusiano yake na Janet yalimueka kwenye umaarufu mkubwa na kusababisha wanawake kumuandama zaidi wakiwania penzi lake jambo ambalo lilimchanganya akili.

Previous articleJamaa Auliwa Sababu Ya Shilingi 32/= tu!!!!
Next articleJux Atangaza Penzi Jipya
Teddy Mwanamgambo is a media personality in the coast region. He has worked in different media houses over a period of time.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here